JUMBA LA BIG BROTHER LAWAKA MOTO NA UZINDUZI WA MSIMU MPYA WASIMAMISHWA;
Kutoka kwenye website
ya waandaaji wa bigbrother wametoa taarifa kwa jamii kua kwasababu ya moto ulio
teketeza jumba la bigbrother msimu mpya wa bigbrother hautazinduriwa kama
ulivyo kua umepangwa mpaka hapo watakapo toa taarifa nyingine, pia taarifa
zinasemakua hakuna aliye kufa wala kupata madhara kwa moto huo zaidi ya dhamani
zilizo teketea kwa moto angalia picha hapo chini