TANGAZA NA TAZAMA HABARI
Showing posts with label Videos. Show all posts
Showing posts with label Videos. Show all posts
Monday, September 15, 2014
ANGALIA VIDEO MBILI ZA PROFESSOR JAY 3CHAFU NA KIPI SIJA SIKIA. NI SHIDAA
Angalia video mbili za msanii professor jay alizo ziachia you tube leo na ndizo alizo zifanyia uzinduzi siku ya juma mosi iliyo pita je video hizo ziko vipi angalia hapa
Sunday, September 14, 2014
ANGALIA TOLEO JINGINE LA WIMBO WA NICK MINAJI ANACONDA WIMBO HUU NI SHIDAAA
Haya sasa toleo lingine la wimbo wa niki minaji ulio vunza record nyingi duniani huu hapa ni nn kimebadilishwa ndani humo na je ni zaidi ya ilee just angalia hapo down
ANGALIA VIDEO ZA TID, SOGGY DOGY NA WAKAZI WALICHO FANYA KWENYE UZINDUZI WA VIDEO ZA PROFESSOR JAY
Angalia video tatu za show za kukata na shoka zilizo fanywa na wasaanii TID SOGGY DOGY na WAKAZI katika uzinduzi wa video mbili za msanii nguli wa mziki wa kizazi kipya hapa nchini professor jay .. jionee show hizo hapa chini
Friday, September 12, 2014
ANGALIA VIDEO MPYA YA MR FLAVOUR - WAKE UP FT. WANDE COAL [OFFICIAL VIDEO]
Mr flavour msanii anayejulikana afrika kwa miondoko yake ya tofauti sasa ameachia video yake mpya inayo julikana kwa jina la Wake up.. je ngoma hiyo itabamba kama kawaida ya ngoma zake ?? ichek hapa chini na utoe comment zako
VIDEO TANGAZO LA UZINDUZI WA VIDEO MBILI ZA PROF JAY "3 CHAFU" &"KIPI SIJASIKIA" TANGAZO [HZB TV]
Angalia video ya tangazo la uzinduzi wa video mbili za
professor jay 3chafu na kipi sija sikia hili hapaThursday, September 11, 2014
ANGALIA VIDEO YA DIAMOND AND YEMI ALADE, WAKIHOJIWA LIVESTREAM - COKE STUDIO AFRICA SEASON II
angalia video ya msanii platnumz wa bongo na yemi alade wa nigeria wakihojiwa kwenye coke studio Africa huko south africa
Saturday, September 6, 2014
ANGALIA VIDEO MPYA YA SAPPY FEATURING VALERIE - TONIGHT
Friday, September 5, 2014
BREAKING NEWS ;; SERENGETI FIEST 2014 MUSOMA IMEAHIRISHWA KWA SABABU YA AJALI ILIYO TOKEA LEO HUKO MSOMA(ANGALIA VIDEO HAPO CHINI)
Tamasha la Fiesta lililotarajiwa leo hii wilayani Musoma limeahirishwa kutokana na ajali mbaya iliyotokea leo hii wilayani Musoma inayohusisha mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 60.. Taarifa hizi zimetolewa kutoka kwa mwana team wa serengeti fiest DJ fetty kupitia ukurasa wake wa Fb hivyo tunaungana na watanzania woteAngalia Video Mpya Timbulo ft Rich Mavoko - Niende Zangu (Official Video)
UNATAKA KUJUA KILICHO JILI BUNGE LA JANA ?? ANGALIA VIDEO HII HAPA
Thursday, September 4, 2014
Angalia video mpya ya LK Kuddy - ft. Iyanya Vanilla [Official Video]
VIDEO MPYA YA UPCOMMING ARTST TOKA PANDE ZA GREEN CITY (MBEYA) AMMY CHIBA -SUBIRA YA MOYO
Hii ni video mpya ya
wimbo uitwao subira ya moyo, wa msanii anaye kuja vizuri tokea pande za green city
mwana dada Ammy Chiba, wimbo huu umetengenezwa na T_motion films works, Mwana
dada huyu ni mshindi wa 5 wa EBSS 2013'
Ni wimbo wake wa kwanza kufanya tangu atoke EBSSTuesday, September 2, 2014
ANGALIA VIDEO MPYA YA MSANII: PHYNO - AUTHE ft. FLAVOUR
Phyno – Authe
Ameachia Ngoma Yake Mpya Akimshilikisha Msanii Maarufu Afrika Mr
Flavour Angalia Video Hapa ChiniVIDEO YA AKOTHEEAKIFANYA YAKE KATIKA STEGI HUKO DIANI / UKUNDA 2014
ANGALIA VIDEO MPYA YA EMMAnYRA ft DAVIDO [OFFICIAL VIDEO]
ANGALIA VIDEO MPYA YA LINEX WEMA KWA UBAYA [OFFICIAL VIDEO]
Monday, September 1, 2014
ANGALIA VIDEO MPYA YA YAMOTO BAND INAYOITWA NISEME
Subscribe to:
Posts (Atom)







