Wednesday, July 16, 2014
DIAMONDI PLATNUMZ KUPITIA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM AMTAKIA MSANII MWENZAKE SHETA HAPPY BIRTHDAY
Star wa mziki wa Bongo flavor nchin Tanzania Diamond Platinumz amemtakia msanii mwenzake Sheta heri ya sikuku yake ya kuzaliwa katika kile kinacho onesha upendo kati ya wasaani hao na kuonyesha mahusiano mazuri kati yao ikumbukwe kua diamond platnumzi na sheta wamefanya ngoma pamoja na kutoa video yao iliyo achiwa siku chache zilizo pita, haya ni maneno aliyo yaandika msaani diamond platnumz katika account yake ya instagram......