Star wa bondo movies mwanadada Rozi Ndauka ameondoka nyumbani kwa mmewe kwa mda akiidai amempisha mmewake ili atimize mfungo kwa uhuru, Rozi ameelekea nyumbani kwa mama mzazi kwa mda mpaka hapo mmewe atakapo maliza mfungo huo ambayo ni nguzo muhimu kwa waumin wa dini ya kiislam
kwa sasa star huyo wa bongo movie yupo nyumbani kwa mama yake kigogo