Friday, July 11, 2014
VERA SIDIKA MREMBO WA KENYA AZINDUA APP YAKE KWENYE PLAYSTORE YA GOOGLE KWA AJILI YA WINDOWS NA SMARTPHONES
Mwana dada huyu ambaye ameshawahi kukili kua chanzo cha kipato chake ni kutokana na mwili wake sasa ameamua kutengeneza applications iliyopo kwenye pray store ya google kwa ajili ya watumiaji wa smartphones, applications hii ina mjumuiko wa picha zake ambazo atakua ana zi update kila mda ili kuwapa urahisi wapenzi na mashabiki wa picha zake waweze kuzipata kiurahisi zaidi, pia mwana dada huyu ndie aliye sababisha video ya P-unit ikafungiwa kwasababu ilikua nje ya maadili ya Kenya (kimapenzi mno) na pia ameshaonekana kwenye video ya prezzo My girl
Applications imepewa jina la lake "vera sidika" na inaonekana kama picha hapo chini ukihsha itafuta kwenye praystore na ukaifungua
huo ndo mwonekano wa hiyo applications na ukisha install inakua tayari kwa kuitumia