Friday, July 11, 2014
PENNY A POST PICHA INAYOONYESHA PETE YA UCHUMBA INSTAGRAM
Baada ya machozi ya mda mrefu kwa huzuni ya kuacha na hitmaker Diamond Platnumz ambaye kwa sasa yupo na Wema Sepetu hatimaye leo Penny kupitia account yake ya instagram kapost picha inayo onyesha pete ya uchumba kidoleni mwake hii imetafusiliwa na mashabiwi wake kua amesha pata mchumba mpya na wengi wao wakiwa wanafurahia uamzi huo huku wakimwombea yasimkute tena kama yalio mkuta kwa Platnumz, Penny ni mtangazaji wa kipindi cha Genge cha radio EFM.