TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Friday, July 11, 2014

BURUNDI WAPITISHA MSWADA AMBAO UTABANA IDADI YA MAKANISA




















Makanisa huanzia nyumbani huku yakiwa na idadi ndongo ya watu na ongezeko la makanisa katika kila sehemu limekua ni kubwa hivyo kusababisha kanisa moja kua na waumini wachache na kufanyia ibada zao nyumbani kwa waumin kwa kuliona hili bunge la burundi limepitisha utaratibu mpya ambao utayataka makanisa ya nyumbani kuwa na waumini wasio pungua 500 na sehemu au jengo la ibada, ili kuwapatia usajili wa kanisa hilo, na pia kwa makanisa yanayo toka nje ya nchi ya burundi yatatakiwa kua na waumini wasio pungua 1000 ili kuruhusiwa na kupata kibali cha kuendesha shughuri hizo kisheria,

 hivyo baada ya siku 30 kama kutakua hakuna mabadiliko mswada utapelekwa kwa rais wa burundi na kusainiwa na kurudishwa bungeni kwa ajiri ya kujadiliwa tena na ukipita utakua sheria na makanisa yatapewa mwaka mmoja kuanza kutumia sheria hiyo