TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Sunday, August 31, 2014

ALICHO KISEMA DIAMONDI PLATNUM KUHUSU SHOW YAKE YA UINGEREZA


Kupitia ukurasa wake wa fecebook msaani diamond platnumz akiwa uingereza ametoa masikitiko yake toka moyoni kuhusiana na promoter aliye simamia uandaaji wa show yake  aoma naneno ya platnumz
“kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany... kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jins watu walivyoamua kujitolea kuja kutusupport vijana wao kwa wingi, halaf mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri... najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed... lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoter...hivyo nisingeweza kujiamulia kuja muda ninaoutaka mimi...”