ANGALIA VIDEO MPYA YA ASIA INAYO ITWA LEO
Mwana dada Asia ameachia ngoma mpya inayo kwenda kwa
jina la leo mwana dada huyu amabaye hapo awali alikua akifanya mziki wa taarabu
aka mipasho sasa kaamua kubadilika na kuingia katika bongo flouver angalia
video yake hapo chini