TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Sunday, September 14, 2014

DIAMOND PLATNUMZ ATOA LINK YA KUMPIGIA KURA KWENYE TUZO ZA CHANEL O

Mtanzania Diamond platnumz amabaye anaiwakilisha inchi yetu katika tuzo za channel O amewaomba watanzania wote kumpa support ya kumpigia kura katika kategori nne alizo chaguliwa kuwania tuzo, pia sisi kama watanzania tunapaswa kuweka ushabiki pembeni na kuupa nafasi utanzania wetu tuhakikishe kijana anarudi na tuzo hizo kwani ni moja ya kuitangaza nchi yetu , soma hapa alicho kiandika platnumz katika ukurasa wake wa faceebook.
"Hii ndio link yakunipigia kura kwenye tunzo za Chenel O music video awards http://channelo-awards.dstv.com
naamini hata na wewe inakuuma kuona kila siku sisi wanatueka nyuma tu.... lakini kumbuka kura yako ndio Ushindi wetu....hivyo tafadhari naomba tupige kura kwa wingi ili tuwaonyeshe kuwa nasi tunaweza....‪#‎Choamva2014
categories zangu ni:-
Most Gifted East
Most Gifted New comer
Most Gifted Afropop
Most Gifted Video of the year
*..Umoja wetu ndio ushindi wetu..*

 "