Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali
za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia
yake ya kugombea urais waJamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na
waandishi wa habari kwenye ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote
ila ni yeye mwenyewe ameamua kwa moyo wake.