Huu ni ujenzi wa barabara ya sawmill-Ushili mpaka Sura huko Arumeru
Mashariki jimbo linaloongozwa na mbunge kutoka chama cha democrasia na
maendeleo chadema. Mbunge Joshua Nassary ameamua kushilikiana na wananchi wake
kuhakikisha barabara hiyo unakamilika na ikumbukwe kua ni mmoja kati ya wana
ukawa ambaye hayupo katika bunge linaloendelea
hivi sasa na kwa maana hiyo
ameamua kuutumia mda huo kufanya kazi za kijamii katika jimbo lake huu ni mfano
wa kuigwa kwa wabunge wetu na sio wakisha changuliwa wanahamia dar kabisaa