SIKILIZA AUDIO MPYA YA AY FT MIS TRINITI & LAMYIA - ITS GOIN DOWN
kwa mara nyingine tena mzee wa commercial ameamua kuwashilikisha wasanii miss triniti na lamyia kutoka pande za USA katika song lake jipya linalo kwenda kwa jina la its going down ni bonge la song aka ni lakimataifa sikiliza ngoma hii hapa chini