Hii ni video mpya ya
wimbo uitwao subira ya moyo, wa msanii anaye kuja vizuri tokea pande za green city
mwana dada Ammy Chiba, wimbo huu umetengenezwa na T_motion films works, Mwana
dada huyu ni mshindi wa 5 wa EBSS 2013'
Ni wimbo wake wa kwanza kufanya tangu atoke EBSS
Anaishi mbeya Kazi
imetengenezwa na T Motion Films Works (Ipo Mbeya) Director : Cy thor
Anasimamiwa na Tumanyene co.ltd 0713579939,0655387996 kwa walee wanao
taka kua na kazi nzuri kamaa hii contact hizo hapooooo