Kutoka RIO DE JANEIRO, BRAZIL, fainali za combe la dunia 2014 zamalizika huku timu ya Germany ikiibuka mshindi wa kombe la dunia 2014 kwa kuwachapa timu ya Argentina goli 1-0, goli hilo lilifugwa dakika ya 113 ya mda wa nyongeza kutoka kwa mchezaji Mario Gotz ambaye aliingia dakika ya 88 akibadilishana na mchezaji no 11 Miroslav Klose , hii ni sab iliyo zaaa matunda............
kwa timu ya germany na kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubigwa wa kombe la dunia 2014 hivyo kuandika historia ya kuchukua combe la dunia kwa mara ya 4 tangu mwaka 1954, 1974, 1990 na sasa 2014, katika mech hiyo mchezazi Gotze ndie aliye ibuka man of the match, amecheza dakika 32, pass alizo toa 19, goal 1, mashuti golini 2
Hata hivyo jana waandaaji wa word
cup 2014 wametoa tuzo kwa wachezaji na timu bora kama inavyo onyeshwa hapo
chini.
mshindi wa kwanza ni germany , mshindi wa pili ni argentina, mshindi wa tatu ni netheland na mshindi wa nne ni blazil,
hao ndo washindi wa wordcup 2014 |
zawadi ya mchezaji bora (best player ) imekwenda kwa mchezaji wa Argentina LIONEL MESSi amechukua mpira wa dhahabu
zawadi ya mfungaji bora imekwenza kwa mchezaji wa colombia JAMES Rodriguez ambaye kachukua kiatu cha dhahabu
zawadi ya kipa bora imekwenda kwa kipa wa ujerumani Manuel NEUER ambaye kachukua glove ya dhahabu
mchezaji bora mwenye umri mdogo imekwenda kwa mchezaji wa ufarance Paul POGBA
na zawadi ya mwisho ilikua ni kwa timu yenye nidhamu ambayo imekwenda kwa timu ya Colombia
huo ndo mgawanyo wa zawadi za wordcup 2014 iliyo fanyika huko brazil