PLATNUM AFANYA KUFULU KWENYE BIRTH DAY
ikiwa ni sherehe ya kutimiza miaka 55 ya mama mzazi wa Diamond platnumz mwanae amzawadia gari lenye thaman ya shs 38.1 million gari aina ya toyota lexus new model lililo kabdhiwa kwa mama mzazi kupitia manage wake Babu Tale wakati diamond platnum akiwa nje.