Wahitimu wa mafunzo
 haya watapata  nafasi  ya kufanya kazi ya USIMAMIZI
NA  UENDESHAJI  WA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI katika MRADI
WA WANAWAKE SALAMA TANZANIA,,,,,
ADA 
YA MAFUNZO HAYA NI SHILINGI ELFU  ISHIRINI NA  TANO TU 
(Tshs.25,000/=)
SIFA
ZA  MUOMBAJI  NAFASI
1.      
Awe  wa  jinsia  ya kike  mwenye  elimu  ya
kuanzia kidato  cha nne na kuendelea.
2.      
Awe  anaishi  katika mkoa  wa Dar Es  salaam.
3.      
Awe  na wito wa  kufanya kazi za kijamii
4.      
Awe  tayari kufanya  kazi  kama msimamizi na  muendeshaji
wa vikundi vya ujasiriamali  vya wanawake.
FOMU 
ZA  KUJIUNGA NA  MAFUNZO  HAYA  ZINAPATIKANA  OFISINI
KWETU  KWA GHARAMA  YA SHILINGI ELFU  KUMI  NA 
TANO  TU (Tshs.15,000/=).
Ofisi zetu
zinapatikana  katika  eneo  la CHANGANYIKENI karibu 
na  CHUO  CHA  TAKWIMU mbele ya  CHUO KIKUU
CHA DAR ES SALAAM.
Kufika ofisini kwetu,
panda  daladala  za  UBUNGO-CHANGANYIKENI, kasha shuka
kituo cha  TAKWIMU halafu tembea hatua ishirini mbele
 kisha tazama  upande wako wa kulia, utaona ofisi  imeandikwa RAEFO
TANZANIA.
Mwisho   wa
kuchukua  fomu  ni  TAREHE  31 JULY 2014 saa nane kamili
mchana,
Kwa maelezo zaidi,
wasiliana nasi  kwa simu : 0784406508




