Ray Whelan, kiongozi wa fifa alie kimbia kwa hofu ya kukamatwa huko Rio Brazil kwa kosa la kuuza tiket kinyume na shelia au kwa wizi.Police Fabio Barucke anasema walipokea kesi ya Mr Whelan kudai kuhusika na uuzwaji wa tiketi katika kombe la dunia huko Rio nchini Blazil na kudai kua wanazitenea kazi lakini kabla ya kukamatwa mr Whelan kakimbia kwa hofu ya kukamatwa
hapa ni mara baada ya tuhuma kufika polisi na polisi kuchukua uamzi wa kumtafuta ili kumuhoji ili waweze kupata taarifa zitakazo wasaidia kujua kama ni kweli kakutwa na hizo tuhuma au laa na waandishi wa habari wakiwa katika pilika za kutaka kujua nini kinaendelea