Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata
ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto
wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha.
Mashuhuda wanahisi kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa basi hilo na baadae ikampelekea deleva kupoteza mwelekeo. Tazama picha zaid hapo chini
baadhi ya watu walio nusulika katika ajari hiyo wakiangalia usalama wa mali zao