TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Wednesday, July 9, 2014

BRAZIL YA NYESHEWA MVUA YA MAGOLI NA GERMANY 7-1

 Hatimaye ile mechi iliyo kua ikisubiliwa kwa hamu sana na wapenzi na mashabiki wa soka imemalizika huku ikiacha majonzi na simanzi kwa wapenzi na mashabiki wa timu ya Brazil iliyo jikuta ikiambulia kichapo kikali ambacho kimeacha historia katika world cup 2014. Blazil imejikuta ikiambulia goli moja tu kutoka kwa mchezaji wake mahili Oscar dakika ya tisini wakati Germany ikiwafunga goli 7 kupitia wachezaji wake nyota Thomas Muller, Miloslay Kilase, Toni Kroos ambaye amefunga magori mawili, Sami khedira na wamwisho ni Andre Schurrle ambaye naye alifunga magoli mawili. kipigo hiki kimewaacha wapenzi wa Blazil na simanzi
na majozi lakini upande wa pili wa Germany kwao ni fulaha kwani mpira huu ulitabiliwa kua mgumu lakini mwisho wa siku umekua mrahisi sana kwa timu ya Ujeruman.

 Moja ya mashabiki wa Blazil akiwa na simanzi na majonzi kutokana na kipigo walicho kipata Blazil kutoka kwa Ujeruman.
 kipa wa Blazil akiwa haamini kinacho tokea katika lango la Blazil huku magori yakiingia kama mvua