Tuesday, July 8, 2014
ARUSHA; BOMU LA RUSHWA KWENYE MGAHAWA
Ikiwa ni mfululizo wa matukio ya mabomu katika jiji la Arusha,Hapa ni kama Vama Restaurant, Ngarenaro jijini Arusha sehemu maarufu kwa ajili yachakula chenye radha ya India. ambapousiku wa kuamkia leo bom lilirushwa na kujeruhi baadhi ya watu waliokua ndani ya mgahawa huu kwa ajili ya kujipatia chakula chao cha usiku.
hizi ni baadhi ya picha baada ya tukio hilo.
Mji wa Arusha umekua ukikubwa na matukio ya mabomu kwa mda mlefu tangu bomu lililo lushwa kwenye mkutano wa CHADEMA likafuatiwa na bomu lililo rushwa kwenye uzinduzi wa kanisa Katoliki, hivyo hali hii ina wapa wasi wasi mkubwa wakazi wa jiji hilo la Arusha ambalo ni kivutio kikubwa kwa watalii hivyo matukio kama haya yanazidi kudidimiza secta ya utalii nchin. hata hivyo jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi na tutawajulisha taarifa rasmi ya jeshi la polisi pindi itakapo tolewa.