Mwana dada wa Nigeria aliye kuepo katika tamasha la
usiku wa matumaini akitokea Nigria YEMI ALADE anajiandaa kuachia albamu inayo
kwenda kwa jina la King Of Queens na hizi ni picha za video anazo andaa
zitakazo kuepo katika albam hiyo zitazame hapo chini