Hivi ndivyo ilivyo kua katika tamasha la Serengeti fiesta
huko jijini mwanza wasanii mbali mbali
walitoa burudadi kwa wa kazi wa jiji la mwanza na ndo ulikua uzinduzi wa
tamasha hilo linalo tegemea kuzunguka katika mikoa mbali mbali nchi. Tazama picha
hapo chini