TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Sunday, August 10, 2014

BASI LA 5 ALLIANCE LATEKETEA KWA MOTO


Basi la 5 allience linalofanya safari zake DAR to Mtwala limepata ajali ya moto na kuteketea kama picha zinavyoo onyesha taarifa za mwanzo zinasema hakuna aliye jeruhiwa wala kufa.