BONDIA MADA MAUGO AMEMSHUSHIA KICHAPO KIKALI BONDIA THOMAS MASHALI KATIKA USIKU WA MATUMAINI
Kutambiana kwa mabondia Mada na Thomasi kumeisha leo
ndani ya usiku wa matumain pale Thomas alipo kubali kula kichapo kutoka kwa
bondia mada angalia picha hapo chini