RAIS WA MANZESE MADEE AKIMTAFUTA ALIE MWAGA POMBE YAKE NDANI YA USIKU WA MATUMAINI;
Rais wa manzese msanii made kutoka kundi la tip top connection ni moja wa wasanii aliye perfom katika usiku wa matumaini msanii huyo alimtafuta aliye mwaga pombe yake ndani ya usiku wa matumaini na kumaliza na ni shidaaaaaaaa jinsi tamasha hilo lilivyo bamba