HIVI NDIVYO JUMANATURE ALIVYO TISHA NDANI YA USIKU WA MATUMAINI UWANZA WA TAIFA JANA.
msanii anaeongoza kwa kupendwa na watanzani Juma
nature pia ni miongoni mwa wasanii walio fanya show usiku wa matumaini uwanja wa
taifa angalia picha zake hapo chini alivyo wafurahisha mashabiki wake na
kuufanya usiku huo kua poa mbayaaaaaa