Msanii wa Nigeria anayae tamba na nyimbo yake ya
john amefunika mbayaa katika tamasha la usiku wa matumain akimtafuta john live
pale uwanja wa taifa. Mashabiki walimshangilia kwa nguvu sana na amefanya
tamasha hilo kua la kihistolia saaaana
tazama picha mbali mbali za yemi alade akifanya vitu ndani ya uwanja wa
taifa