DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO NYINGIE YA NYIMBO BORA YA EAST AFRIKA
HAYA ni maneno aliyoo yaandika msanii hit maker wa bongo diamond platnumz katika ukrasa wake wa face book baada ya wimbo wake wa my number one kupewa tuzo ya wimbo bora wa east afrika ,"Shukran zangu nyingi
zikufikie wewe shabiki yangu kwa kuiwezesha nyimbo ya Number One kuwa Nyimbo
bora ya East Africa kwenye tunzo
za
#TTTM_Awards Nchini BURUNDI... daima ntaendelea kujituma na kuhakikisha nawapa
burudani ya uhakika.... Shukran za dhati kwa mwanangu @MafiaMnyama kwa
kuiwakilisha vyema Wasafi nchini Burundi"