Kupitia Mtandao wa Kijamii mrembo Jokate amemweka wazi mpenzi wake mpya ambae ni Mtangazaji maarufu Kenya na kuonyesha ni jinsi gani alivyo na furaha.
siku chache zilizo pita jockate kupitia media alidai anasaka mwanaume au mchumba wa kumuoa hivyo hii inamaanisha kwamba jockati ndo anaelekea kutimiza ndoto yake aliyo kua anaifikilia This Is Love jamani Tuwaache wafanye yao... Beautiful Jokate In Love Again .