TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Friday, August 22, 2014

LUIS FIGO NA WENZAKE WAWASILI DAR KWAAJIRI YA KUCHEZA NA TIMU YA TAIFA STARS VETERAN


Mtangazaji wa michezo wa E FM 93.7 Maulid Kitenge akiwa na Gwiji wa zamani wa Real Madrid Luis Figo alipowasili usiku huu jijini Dar es salaam na wachezaji wenzie nyota wa zamani wa timu hiyo ya Hispania ambayo Jumamosi itakipiga na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uwanja wa Taifa angalia picha hapo chini



























Nyota mwingine wa zamani wa Real Madrid, Christian Karembeu akiwa na Tuliy baada ya kuwasili nchini