Msanii wa bongo flover dogo janja hatimaye apiga
chini shula na kuamua kujikita zaidi kwenye mziki akitoa kauli hiyo anasema
tayali anasaka chuo cha mziki na tayari kashaanza kujifunza kupiga vinanda na
gitaa na kuna mwalimu
anaye mfundisha. Dogo janja anasema ameamua kufanya hivyo
kwa sababu hakuna kitu anacho kipenda zaidi ya mziki na anaamini mafanikio yake
yatatokana na mziki hivyo ameamua kuupa kipaumbela elimu ya shule ataicheki
baaaaadaaaaaaeeeeee.