TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Friday, August 22, 2014

WAGONJWA WAWILI WA EBOLA WATIBIWA NA KUPONA MAREKANI;


Ebola: Two American Aid Workers Discharge From HospitalDr Kent Brantly, 33, AMEWASHUKURU walio kua wakimwombea na kumpa support katika ukumbi wa habari uliopo Atlanta. Nancy Writebol, 59, ameruhusiwa kutoka hospitali aliko kua akitibiwa baada ya kupata Ugonjwa
wa ebola akiwa anawasaidia wagonjwa wa lio athirika na ugonjwa huo. Kupona kwa wagonjwa hawa kumetoa mwanga na matumaini ya kumalizika kwa tatizo la ugonjwa hatari wa Ebola, wagonjwa hawa walipelekwa nchini marekani kwa matibabu na wametibiwa kwa week tatu na jumanne hii wagonjwa hawa wameruhusiwa kurudi ma kwao baada ya kupatiwa tiba