Mkali huyo wa R&B
ameandika mpango wake huo katika Instagram ikiwa ni
siku moja baada ya
Karrueche kutoa tamko rasmi kuhusu kurudiana kwao na kueleza kuwa katika
mapenzi yao kuna vitu vya ndani ambavyo havijulikani na havipaswi kujulikana
kwa watu ambavyo vinawafanya waendelee kuwa pamoja.
"@karrueche damn
near 5 years and this woman still putting up with my s---. Need to have this
baby and stop playing! Lol! My WCW" Ameandika Chris Brown na kupost
Karrueche.