AJARI MBAYA YATOKE MSOMA BASI LA J4 NA MWANZA COACH YAGONGANA USO KWA USO ZAIDI YA WATU 40 WAFARIKI HAPO HAPO
Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma. samahani kwa picha zinAtishaa