Tamasha la Fiesta lililotarajiwa leo hii wilayani Musoma limeahirishwa kutokana na ajali mbaya iliyotokea leo hii wilayani Musoma inayohusisha mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 60.. Taarifa hizi zimetolewa kutoka kwa mwana team wa serengeti fiest DJ fetty kupitia ukurasa wake wa Fb hivyo tunaungana na watanzania wote
kuwapa support wenzetu walio fiwa na ndugu na jamaa katika ajari hiyo ..