Ile filamu mliyokuwa mnaisubiri kwa hamu iitwayo “Cultural Wars”
iliyoandikwa na kutengenezwa na Deogratius Mhella (Mtanzania anayeishi New
York) akishirikiriana na Watanzania na Wamarekani waishio New York, New Jersey
Boston na Connecticut sasa imetoka kwa mara ya kwanza na inapatikana kwenye DVD
na unaweza kupata “electronic Copy” Agaria trailer yake hapo chini
Filamu hii inazungumzia baadhi ya changamoto za kimapenzi wazipatazo
vijana wa Kitanzania hapa Marekani. Na ni ya kwanza iliyochezwa na Watanzania
na Wamarekani hapa New York kwa kutumia lugha ya Kiingereza. Baadhi ya “Actors”
wa Kitanzania ni Khalifa Siwa aka “Bob”, Ny Ebra aka “Vijimambo New
York”, Akida aka “Mshenga”, Chemi Whitlow aka “Chemponda” na Isaac Kibodya aka
“Father”. Wote mliosaidia katika kufanikisha filamu hii ambao hamjatajwa hapo
juu, mnapewa shukrani za dhati kabisa.
Usikose kujipatia nakala yako kwa kuinunua au kuiona kupitia link hapa
chini: