BASI LA MORO BEST LAPATA AJARI KATI YA MOR NA PWANI 45 WAJERUHIWA
Basi la abiria, Moro Best likiwa limepinduka katikati ya Morogoro na mkoa
wa Pwani Jumanne Septemba 3, 2014. Kwa mujibu wa mashuhuda watu 45 wamejeruhiwa
wanne kati yao mahututi. Hakutna taarifa zaidi zilizopatikana kuhusiana na
ajali hiyo