Kutoka Shinyanga wananchi wenye hasila
kali wamemchoma moto mtuhumiwa na kutawanywa na polisi wakiwa wanajaribu
kumwokoa mtuhumiwa huyo Angalia picha za mtuhumiwa akiwa amechomwa moto na pia
jitihada za polisi kumwokoa zika gonga mwamba baadae mwili ukiwa umewaka moto
polisi wakautoa kuupeleka chumba cha kuhifadhia maiti SAMAHANI PICHA ZINATISHA
KAMA NI MWOGA USIZIANGALIE;