AZAM FC WAKUBALI KICHAPO CHA GOLI 3 KUTOKA KWA YANGA HUKU JAJA AKIPIGA GOLI 2
Kocha Marcio Maximo akimpongeza
Genilson Santana 'Jaja' baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0
dhidi ya Azam FC mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Balo
lingine lilifungwa na Simon Msuva.