Sunday, September 14, 2014
SIKILIZA HOTUBA YA PROFESSOR LIPUMBA KWENYE MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA CHADEMA ATAKA UKAWA ITOE MGOMBEA MMOJA
PROFESSOR IBRAHIM LIPUMBA kutoka CUF alikua mmoja wa walio alikwa kwenye mkutano mkuu wa chadema ulio fanyika leo pale mliman city hall, mwenyekiti huyu wa chama CUF ametoa hotuba nzuri inayo lenga kutaka wapinzani wote kuungana na kupendekeza mgombea mmoja, pia amemwagia sifa kibao mwenyekiti wa Chama cha democrasia na maendereo CHADEMA na kusema amejitahidi mno kukijenga chama chake, katika hotuba yake fupi kazungumzia mambo mengi sikiliza hotuba yake hapo chini....