Wednesday, September 10, 2014
DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA SHOW YA BURE UJERUMANI KUFIDIA MASHABIKI WAKE
kupitia ukurasa wake wa facebook msanii diamond ametangaza kufanya show ya bree ujerumani kufidia mashabiki wake baada ya show yake ya kwanza kushindwa kufanyika baada ya kutoke fujo zilizo sababishwa na madai kwamba alichelewa kupandishwa stegini hivyo mashabiki wakaamua kuleta fujo.. soma alicho kiandika platnumz "" YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014... kiukweli
nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart... lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events... ndipo tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu pendwa wa Stuttgart....hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale kwa RedCarpet.... kiingilio ni BUREEEEEE!!!... tafadhariwambie na wenzio wa nchi za karibu...#NORWAY #HOLLAND #SWITZLAND#BELGIUM #SWEEDEN na kad harika!!!!