kijana toka nigeria anaye tisha Africa kwa Nyimbo zake kupendwa na kupewa collable na wasanii wengi wa afrika kutoka nchi mbali mbali sasa tuisha mzingo mpya wa audio akimshilikisha Dj Arafat mzigo unaitwa Naughty sikiliza hapa chini katisha saana kama kawaida yake