Kutoka kwenye website
ya waandaaji wa bigbrother wametoa taarifa kwa jamii kua kwasababu ya moto ulio
teketeza jumba la bigbrother msimu mpya wa bigbrother hautazinduriwa kama
ulivyo kua umepangwa mpaka hapo
watakapo toa taarifa nyingine, pia taarifa zinasemakua hakuna aliye kufa wala kupata madhara kwa moto huo zaidi ya dhamani zilizo teketea kwa moto angalia picha hapo chini