TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Monday, September 1, 2014

LICHA YA SAKATA LA SKENDO ZA FLORA ,MBASHA AJA NA ALBAMU NYINGINE


Frorah Mbasha amesema kuwa, anamshukuru Mungu kwa kufanikisha kutoa albam mpya inayokwenda kwa jina Nipe Nguvu ya Kushinda, kazi ambayo tayari jamii imeipokea vizuri.


Msanii huyu ambaye amezoeleka kufanya kazi ya muziki pamoja na mumewe Emmanuel Mbasha, amewatoa wasiwasi mashabiki kuwa licha ya mgogoro, Mumewe yupo katika kazi hii