TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Monday, September 1, 2014

MANENO YA DIAMOND PLATNUMZ ALIYO YA POST JANA BAADA YA KUKOSWA KOSWA HUKO UJERUMANI;

Kupitia ukurasa wake wa facebook msanii maarufu nchini diamond platnumzi amepost maneno yanayo onyesha kua mesikitishwa na kitendo kilicho tokea huko ujerumani na kujikuta no losser soma maneno yake hapo chini aliyo yaandika kwa Kiswahili na kingereza

When you loose something in life it doesn't mean that you don't deserve it, may be God has prepared something better than that... now tell me who you are missing and wished you were with him/her on this beautiful Sunday....?

Unapokosa kitu katika Maisha haimaanishi kuwa hukustahili...wenda mwenyez mungu amekuandalia upate kikubwa zaidi.... je ni nani umemkosa ila ulitamani sana kuwa nae jumapili ya leo?