TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Monday, September 1, 2014

HARUSI YA KIPEEKEE YAFANYIKIA NDANI YA MAJI ANGALIA PICHA


Katika mtaa,mdogo wa Shanghai, mahari ambapo pamepata umaarufu kwa sasa kwa kua na sehemu maalum ambapo unaweza kupiga picha huku ukiwa ndani ya maji hivyo hii imewafanya maharusi hawa kuchukua uamzi wa kufanyia harusi yao ndani ya maji angalia picha za harusi yao ilivyo kua