TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Monday, September 1, 2014

PICHA ZA AJARI ILIYO TOKEA MAENEO YA TAZARA JIJINI DAR

Ajari mbaya ya magari kugongana imetokea mitaa ya Tazara hizi ni picha za ajari hiyo ambayo dereva alifanikiwa kuruka na kuokoa maisha yake hata hivyo katika ajari hiyo ahkun a mtu aliye poteza maisha angalia picha jinsi ajari hiyo ilivyo kua