Huu
ni wimbo wa injili alio utoa Emanuel Mbasha ambaye anakabiliwa na tuhuma za
kumbaka mdogo wa mke wake anaye itwa Flora Mbasha ambaye naye pia ni mwimbaji
wa nyimbo za injili wawili hawa ambao bado hawajaanza kuishi
pamoja tangu
watengane wakati wa sakata hilo Emanuel ameachia nyimbo yake ya dini hii hapa
msikilize alicho kizungumza katika nyimbo hiiii..