Katika kile kinacho semwa na mashabiki walio hudhuria finali za
ktm kumwona msanii wa komedy nchini anaye tambuluka kwa jina la Joti amevalia
Vazi ambalo kwa upande mmoja ni la kiume na kwa upande mwingine ni lakike,
mashabiki wanadai kitendo kile kinachochea ushoga na hakimletei sifa nzuri yeye
kama msanii na kiioo cha jamii pia katika upande wa pili msanii wa filam anaye
julukana kwa jina la LULU real Elizabeth Michael alivalia kigauni
kinachoonyesha sehemu yake ya kifua na kuwafanya mashabiki pia kutoa comment
zao kua haikupendeza kuvaa vile yeye kama kioo cha jamii angalia picha za
wasaanii hao hapa chini